Biashara ya Popcorn
LIFESTYLE

Biashara ya Popcorn

Biashara ya Popcorn

Popcorn hupendwa na si zaidi watoto pekee bali hivi sasa vijana wengi na kundi dogo la watu wazee na watu wazima hivyo leo nimeona ni vizuri nikujuze haya maeneo muhimu utakapowapata hawa wateja wako kwa wingi.

Mahitaji ya Muhimu Kuanzisha Biashara ya Popcorn

✔Mashine za Popcorn zilizo na vifaa vya mahindi.
✔Mahindi ya Bisi
✔Mafuta
✔Chumvi
✔Serving Bags/Vifungashio
✔Popcorn Flavors Recipes.
✔Wahudumu/Mhudumu
✔Business Plan/Mchanganuo.
✔Vibali/Kitambulisho cha biashara

Masoko

🍿Viwanja vya michezo (siku za tukio)
🍿Mashuleni
🍿Vyuoni
🍿Mtaani – Nyumba kwa Nyumba
🍿Maduka makubwa /Supermarket
🍿Online Sales /mtandaoni
🍿Uza kwa Oda.
🍿Vituo ya Mabasi na Treni pia.
🍿Nje ya kumbi za Sinema.

Check more LIFESTYLE articles;

Leave a Comment