Platform – Mtima Lyrics
LYRICS

Platform – Mtima Lyrics

AUDIO Platform - Above & Beyond Ep MP3 DOWNLOAD
Platform – Mtima Lyrics

Tanzanian Bongo Fleva recording artist, actor, dancer, and businessman from Tanga Tanzania, Suleyman Salim Gao popularly known as, Platform came back with a new banger titled, Mtima, a number four song from his extended playlist titled Above & Beyond.

SIMILAR: Platform Ft Marioo – Ananipenda

Mtima Lyrics by Platform

Mmmmmmh mmmmmhh

Nina imani na busara
Japo nina mapungufu yangu ni kawaida
Miye ni mwanadamu dada.
Useme nimekamilika sio sawa.

Maneno ni sumu uuh!
Mdomo unaumba unaumba aah!
Na bora unihukumu
kama nikitenda kosa.
Kama kosa aaahh

Usipo nitaka atanitaka nani
My boo iyeehh mshikaji wangu wa maisha ah!
Aah ni wewe unajua sipo sawa aah
Ata nahisi kupagawa ( Sababu ni wewe )
Na kila tunapolumbana amani sina amani sina
Aaanh Unajua sipo sawa beibe

Ata nahisi kupagawa
Na kama ni kupishana kwenye mapenzi
Hivyo ni vitu vya kawaida.

Weeeh ndio mtima aah,
Presha sina…
Kama kukupenda wewe,
Ninakupenda why tuzozane eeh

Weeeh ndio mtima aah,
Presha sina…
Kama kukupenda wewe,
Ninakupenda why tuzozane eeh

Eh na kama mwanadamu kweli
Sijakamilika ilo naelewa.
Kinacho nichanganya
Navuruga nashindwa kuelewa..

Ah maneno mengi na vitendo nakosea
Nashindwa kujielewa…
Kinacho nichanganya
Navuruga nashindwa kuelewa
Na kuna muda me naenda kushoto
Sitaki uwe keki unaenda kulia
Kukupenda nakupenda, kama
nimerogwa umeniwezea..

Unajua sipo sawa (sababu ni wewe)
Mpaka nahisi kupagawa..
(Sababu ni wewe) na kila tunapo
lumbana amani sina amani sina anhh..
Unajua sipo sawa beibe
Ata nahisi kupagawa uuuhh.
Na kama ni kupishana kwenye mapenzi
Hivyo ni vitu vya kawaida.

Weeeh ndio mtima aah,
Presha sina…
Kama kukupenda wewe,
Ninakupenda why tuzozane eeh

Weeeh ndio mtima aah,
Presha sina…
Kama kukupenda wewe,
Ninakupenda why tuzozane eeh x²

Platform – Mtima Mp3 Download

Check More Track From Platform;

Leave a Comment