Aslay – Vumilia Lyrics
Top-rated Tanzanian young star and Pusha hit songmaker, Aslay is back with a brand new banger titled Vumilia.
SIMILAR: Aslay – Kasepa
Vumilia Lyrics by Aslay
Baby baby baby
I love you, I love you
I love you baby
Nibebe nikubebe
I love you, I love you
I love you baby
Nibebe usinimwage
I love you, I love you
Vitu uvitakavyo vizito
Mi kuvipata siwezi
Hali yangu mafuriko
Abariki Mwenyezi
Sitokupa ukitakacho
Kukudanganya siwezi
Nitakupa nilicho nacho
Ndo uwezo wangu mpenzi
Mmmh sawa
Penzi tusilivunje ukaniacha jamani
Aii mwaya
KIsa sikakupatia unavyotamani
Lonely utaniacha lonely
Ukienda mbali, ukienda mbali
Tuvumilie tukiwa wawili
Tukikosa asali tulambe sukari
(Ololo lolo)
Ahadi ni deni usiniache njiani
Kumbuka kiapo tulichoapa
Shida yako wewe ndo ya kwangu mimi
Na ya kwangu kwako yanakaa
Ya uchungu, chungu
Ya uchungu
Vumilia maisha ya kwangu
Kwagwadugwadu maisha ya kuganga
Maisha gwagwandu
Kwagwadugwandu naishi kiunjanja
Maisha gwagwandu
Kwagwadugwandu maisha ya kuganga
Maisha gwagwandu
Kwagwadugwandu naishi kiunjanja mmh
Mi nai nai mishipa ya shingo
Najua ndo inayo kuumiza roho
Usiku kula hatuli mwendo wa isidingo
Najua umechoka kuumia macho
Mmmh bundi apite
Asijekuleta msiba kwenye mapenzi yetu
Bundi apite
Asijekuleta msiba ooh msiba
Mi sinunui uhai, nijali ningali hai
Unaweza ukapata pesa
Mwenzako tayari nishakufa
Lonely utaniacha lonely
Ukienda mbali, ukienda mbali
Tuvumilie tukiwa wawili
Tukikosa asali tulambe sukari
(Ololo lolo)
Ahadi ni deni usiniache njiani
Kumbuka kiapo tulichoapa
Shida yako wewe ndo ya kwangu mimi
Na ya kwangu kwako yanakaa
Ya uchungu, chungu
Ya uchungu
Vumilia maisha ya kwangu
Kwagwadugwadu maisha ya kuganga
Maisha gwagwandu
Kwagwadugwandu naishi kiunjanja
Maisha gwagwandu
Kwagwadugwandu maisha ya kuganga
Maisha gwagwandu
Kwagwadugwandu naishi kiunjanja
Aslay – Vumilia Mp3 Download
More hit songs from Aslay;