Aslay – Hutegeki Lyrics
LYRICS

Aslay – Hutegeki Lyrics

MP3 DOWNLOAD Aslay Ft Q Chief - Nani Anibembeleze
Aslay – Hutegeki Lyrics

Top-rated Tanzanian young star and Pusha hit songmaker, Aslay is back with a brand new banger titled Hutegeki.

SIMILAR: Aslay Ft Young Lunya – Fofofo

Hutegeki Lyrics by Aslay

Mmh sawa
Mi sio adhi yako
Ila moyo ndo umekufa kwako
Ni mbaya izo kauli zako
Eti mimi mtungi haruki jogoo

Unanichuna chuna tu vipesa vya mkaa
Nikishakupaga vipesa tu unanikataa
Unanichuna chuna tu vipesa vya mkaa
Nikishakupaga vipesa mmh, unanikataa

Nipende ata kwa kudanganya mamaa
Ukiniacha sitakuja kupenda tena
Si kwa manati, si kwa mkuki
Kwa bastola yeyee

Hautegeki (wo wo wo wowo)
Hautegeki
Ata kwa sila gani mama
Hautegeki
Oh napata taabu wewe
Hautegeki

Ulinilaza gesti
Nikapiga simu sikupati
Baby mbona mkorofi
Na kwanini unafake promise
Hautegeki

Na jinadi nikiwa na wenzangu
Kwamba we ndo mke wangu
Ila anajua Mungu
Shida nazopata kwako wewe wewe
Aki ya Mungu nadata kwako wewe wewe
Nishakupa unachotaka

Mara unanitukana
Ukiwa na wenzako unataka sifa yaani
Sababu kidogo unataka tugombane
Izo tabia za samahani honey tutakosana

Unanichuna chuna tu vi pesa vya mkaa
Nikashupaga pesa tu unanikataa
Unanichuna chuna tu vi pesa vya mkaa
Nikishakupaga vipesa mmh unanikataa

Nipende ata kwa kudanganya mama
Ukiniacha sitakuja kupenda tena
Si kwa manati, si kwa mkuki
Kwa bastola yeye

Hautegeki (wo wo wo wowo)
Hautegeki
Ata kwa silaha gani mama
Hautegeki
Oh napata taabu wewe
Hautegeki

Mara kunitukana
Ukiwa na wenzako wataka sifa yaani
Sababu kidogo unataka tugombane
Izo tabia za samahani honey tutakosana

Aslay – Hutegeki Mp3 Download

More hit songs from Aslay;

Leave a Comment