Manula azindua duka la vifaa vya michezo
E NEWS

Manula azindua duka la vifaa vya michezo

Manula azindua duka la vifaa vya michezo
Manula azindua duka la vifaa vya michezo

Golikipa wa Simba SC na Timu ya Taifa ya Tanzania Aishi Salum Manula (@28_manula) leo amezindua rasmi duka lake jipya la vifaa vya michezo vya kisasa.

SIMILAR: Krystyna wa Czech ashinda miss world 2024

Manula amezindua duka hilo maeneo ya Kinondoni Morocco na amelipa jina la “Air Manula Sports Store” na kuahidi kuwa duka hilo licha ya kuwa yeye ni Mchezaji wa Simba SC ila zitapatikana jezi za timu zote hadi Yanga.

Jina la Air Manula ni jina lake la utani ambalo lilitokana na umahiri wake uwanjani hususani uwezo wake wa kuruka juu wakati wa kuokoa michomo hatari langoni kwake.

Check more LIFE HACK articles;

Leave a Comment