Majizzo: Efm na Tv E Watangaza uzinduzi wa Bodaboda Cup
E NEWS

Majizzo: Efm na Tv E Watangaza uzinduzi wa Bodaboda Cup

Majizzo: Efm na Tv E Watangaza uzinduzi wa Bodaboda Cup

Kupitia Ukurasa Wa Instagram Wa Mkurugenzi Wa Mtendani Wa #EFMnaTVE Bwana @majizzo Ame-Share Video Ya Uzinduzi Wa (Bodaboda Cup) , Kupitia Video Hiyo Amendika Ujumbe Wa Kuwashukuru Bodaboda Kwa Mchango Wao Wa Muda Wote Kwa EFM Radio. Ameandika👇

SIMILAR: Stamina Shorwebwenzi: Tahadhari Dhidi ya Matapeli Mtandaoni

Rasmi naanza kuitambulisha familia yangu ya kwanza ya madereva wa Bodaboda, Natambua na nathamini mchango wao kwa EFM ni mkubwa, Tutaendelea kuuthamini tukishikana mikono tuweze kuyafikia malengo ya pamoja. Wana kila sababu kupaita Uswahilini nyumbani kwao.

Hizi ni shamrashamra tu za miaka kumi ya EFM na leo tumezindua michuano ya mpira wa miguu tukishirikiana na ndugu zetu wa Bodaboda tuliyoipa jina la ( Bodaboda Cup )

Nini kinafuata? : Huu ni mwanzo tu.

Check more LIFE HACK articles;

Leave a Comment