Walioitwa kwenye Usaili Tume ya Utumishi Wa Mahakama JSC – PDF
E NEWS

Walioitwa kwenye Usaili Tume ya Utumishi Wa Mahakama JSC – PDF

Walioitwa kwenye Usaili Tume ya Utumishi Wa Mahakama JSC – PDF
Walioitwa kwenye Usaili Tume ya Utumishi Wa Mahakama JSC – PDF

Leo, Tume ya Utumishi wa Mahakama (JSC) Tanzania imetangaza orodha ya majina ya waombaji walioitwa kwenye usaili kwa ajira mpya – PDF Agosti 2024. Kufuatia tangazo la nafasi za kazi lililotolewa na Tume tarehe 05 Julai 2024, napenda kuwafahamisha wananchi wote walioomba nafasi mbalimbali kwamba, baada ya uchambuzi wa kina, waombaji waliochaguliwa kwa hatua ya kwanza ya usaili watafanyiwa usaili kwa nafasi hizo tarehe na vituo vilivyoainishwa kwenye orodha ya majina ya wasailiwa iliyotolewa sambamba na Tangazo hili.

SIMILAR: Jezi Mpya za Simba 2024/2025 Season

Kuitwa kwa Usaili na Tume ya Utumishi wa Mahakama

Usaili huu utafanyika kwa njia ya kielektroniki kwa kila Kada iliyoorodheshwa kwenye jedwali, kuanzia saa 2:30 asubuhi kwa tarehe husika.

Waombaji watakaofaulu usaili wa hatua ya kwanza watajulishwa tarehe ya hatua inayofuata, ambayo itahusisha usaili wa kujieleza (Oral Interview) na/au usaili wa vitendo (Practical Interview), kupitia tovuti ya Tume ya Utumishi wa Mahakama.

Bonyeza hapa kudownload majina ya walioitwa kwenye usaili Tume ya Utumishi Wa Mahakama

Check more LIFESTYLE articles;

Leave a Comment