Aliyeitosa Stars Kucheza Jumamosi Akiwa na USA
E NEWS

Aliyeitosa Stars Kucheza Jumamosi Akiwa na USA

Aliyeitosa Stars Kucheza Jumamosi Akiwa na USA
Aliyeitosa Stars Kucheza Jumamosi Akiwa na USA

Bernard Kamungo (22) anaweza kucheza mechi yake ya kwanza akiwa na Timu ya taifa ya Marekani (USMNT) dhidi ya Slovenia Jumamosi.

SIMILAR: Haji Manara avujisha Video ya Dulla Makabali

Kamungo aliishi katika kambi ya wakimbizi ya Kasulu, Kigoma mpaka alipofisha miaka 14 baada ya wazazi wake kukimbia vita vya wenyewe kwa wenyewe huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, na kisha kuhamia Texas, Marekani mwaka 2016.

Mshambuliaji huyo wa FC Dallas, ya MLS aliwahi kuitwa na kocha Adel Amrouche kwenye kambi ya Timu ya Taifa ya Tanzania mwezi Juni 2023, wakati Taifa Stars ikijiandaa kukabiliana na Niger kwenye mechi ya kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika, michuano inayoendelea sasa nchini Ivory Coast.

Check more LIFESTYLE articles;

Leave a Comment