Jay Melody na Dayoo Vinara Boomplay Africa
E NEWS

Jay Melody na Dayoo Vinara Boomplay Africa

Jay Melody na Dayoo Vinara Boomplay Africa
Jay Melody na Dayoo Vinara Boomplay Africa

Jay Melody anaitawala chati ya nyimbo 100 Bora za Boomplay Africa na wimbo wake ‘Baridi’.

SIMILAR: Haji Manara avujisha Video ya Dulla Makabali

Kwenye chati hiyo iliyochapishwa Januari 18, @realjaymelody sio Mtanzania peke yake anayefanya vizuri kwenye chati hiyo. Wimbo wa @dayoo_tz, ‘Huu Mwaka’ unashika namba mbili kwenye chati hiyo ya nyimbo za Afrika zinazosikilizwa zaidi kwenye App ya Boomplay.

Jay Melody na Dayoo wanaweka rekodi ya kuwa Watanzania wa kwanza kuzitawala nafasi za juu za chati hiyo mwaka huu.

Check more LIFESTYLE articles;

Leave a Comment