Rayvanny na Mzava Watuhumiwa Kwa Utapeli
E NEWS

Rayvanny na Mzava Watuhumiwa Kwa Utapeli

Rayvanny na Mzava Watuhumiwa Kwa Utapeli
Rayvanny na Mzava Watuhumiwa Kwa Utapeli

Mwimbaji Kayumba amewaanika msanii Rayvanny na mwongozaji wa video, Erick Mzava kwa kutorejesha pesa zake TZS Milioni 7 ambazo alitoa kama malipo ya kufanya video ya wimbo wake SHAKE kutoka kwenye albamu yake iitwayo FINE TAPE.

BIG BINO amedai kuwa ameamua kuweka wazi haya yote kwasabubu ya ubabaishaji na video kutofanyika hadi leo licha ya kufikishana polisi na director Mzava na kukiri kureshesha kiasi cha fedha milioni 2.1 kilichobaki baada ya kutoa milioni 2.9 kituoni.

Source: Simulizi na Sauti

Check more LIFESTYLE articles;

Leave a Comment