Zuchu Atangaza Kuachana na Diamond
E NEWS

Zuchu Atangaza Kuachana na Diamond

Zuchu Atangaza Kuachana na Diamond
Zuchu Atangaza Kuachana na Diamond

Zuchu adai heshima imekosekana kwenye mahusiano yake na Diamond platnumz, atangaza kuachana nae rasmi. Hii inakuja wiki kadhaa baada ya Diamond pia kutangaza kuwa yupo single na baadae kurudisha uhusiano wao.

“Hello fan-milly i had to post this to clear my conscience. kuanzia leo hii mimi na Nasibu (diamond) hatuko pamoja. i know this has been our thing but as hard as it is kumuacha mtu unaempenda hii naomba mungu iwe ya mwisho na nianze maisha mapya”.

Zuchu Atangaza Kuachana na Diamond
Zuchu Atangaza Kuachana na Diamond

Zuchu ameongeza kuwa; “Mapenzi ni heshima kwa bahati mbaya sana hiko kimekosekana kwetu. as for him bado tuna kazi za pamoja i wish him and his family the absolute best”.

Check more LIFESTYLE articles;

Leave a Comment