E NEWS

Ac Milan kuvaa jezi zenye majina ya mama zao

Ac Milan kuvaa jezi zenye majina ya mama zao
Ac Milan kuvaa jezi zenye majina ya mama zao

Wachezaji wa AC Milan watavaa jezi zenye majina ya mama zao dhidi ya Cagliari usiku huu, kuadhimisho ya Siku ya Akina Mama nchini Italia.

Wanafanya hivyo kama sehemu ya mpango wa kuangazia haki za utambulisho binafsi, kufuatia sheria ya Italia iliyopitishwa Juni 1, 2022, kwamba wazazi wote wawili [Baba na Mama] wana haki ya kuchagua majina ya ukoo ya watoto wao kama sehemu ya utambulisho wao binafsi.

Check more LIFESTYLE articles;

Leave a Comment