E NEWS

Diamond Platnumz: Acha nijivunie nyie ndo wanangu

Diamond Platnumz: Acha nijivunie nyie ndo wanangu
Diamond Platnumz: Acha nijivunie nyie ndo wanangu

Majibu ya Diamond Platnumz kwa Harmonize baada ya kuonyesha kuchoshwa na kauli ya Diamond kusema kwamba alimemtoa Kimuziki kupitia lebo yake ya muziki, WCB Wasafi; “Tajiri na mali zake, masikini na wanawe, asa mali sina mzee Konde, acha nijivunie nyie ndio wanangu wa dhahabu, nikitoa наро nahamia kwa wajukuu zangu sasa kina ibra, mac voice etc”.

SIMILAR: Tyla adai Tems amefungua milango ya wengi

Diamond Platnumz: Acha nijivunie nyie ndo wanangu
Diamond Platnumz: Acha nijivunie nyie ndo wanangu

Pia, Diamond alionyesha dhamira yake ya kuandaa tukio la kifamilia baada ya miaka 15 kusherehekea mafanikio yao. Hii inaonyesha hisia za umoja na upatanisho ndani ya tasnia ya muziki. Kauli hii inadhihirisha kwamba, licha ya tofauti zilizotokea awali, Diamond anaona umuhimu wa kujenga umoja na kusherehekea mafanikio ya kila mmoja katika tasnia hiyo.

SIMILAR: Baba Levo adai kupigwa na mke wake

“Kwenye 15 years nataka tufanye event moja ya ukoo mzima and we celebrate kidogo Mungu alichotubariki”.

Check more LIFESTYLE articles;

Leave a Comment