Mbunge wa Sumve: Waziri mkuu waambie mawaziri wake waache ahadi hewa — kichwahits
E NEWS

Mbunge wa Sumve: Waziri mkuu waambie mawaziri wake waache ahadi hewa

Mbunge wa Sumve: Waziri mkuu waambie mawaziri wake waache ahadi hewa
Mbunge wa Sumve: Waziri mkuu waambie mawaziri wake waache ahadi hewa

Akichangia hoja Bungeni, Mbunge wa Sumve, Wilayani Misungwi, Mwanza, Kasalali Mageni amesema huu ni Mwaka wanne amekuwa akiomba Barabara ya lami Jimboni kwake bila mafanikio huku akidai hakuna utekelezaji zaidi ya ahadi pekee kutoka kwa Mawaziri wanaohusika

SIMILAR: Zuchu aweka rekodi mpya Boomplay

Anasema “Ni lazima tuheshimiane, ni bora Watu wa Sumve tuambie hatuhusiki humu. Waziri Mkuu waambie Mawaziri wako wanaohusika waache kuwapa ahadi hewa Wananchi wa Sumve.”

“Wabunge wote wa Mwanza tulienda kwa (Prof. Makame) Mbarawa alipokuwa Waziri wa Ujenzi akatuahidi lakini hakuna kitu, sasa hivi yupo (Innocent) Bashungwa napo hakuna kitu.”

Check more LIFESTYLE articles;

Leave a Comment