Muigizaji Anayelipwa Zaidi Africa
E NEWS

Muigizaji Anayelipwa Zaidi Africa

Muigizaji Anayelipwa Zaidi Africa
Muigizaji Anayelipwa Zaidi Africa

Mohamed Ramadan kutoka Misri ndiye Mwigizaji anayelipwa zaidi barani Afrika, na ni mmoja wa wanamuziki wanaoingiza mkwanja mrefu zaidi Afrika.

SIMILAR: NMB Yaleta Account Isiyo na Malipo

Mohamed, mwenye mia 35 mzaliwa wa Qena inatajwa kuwa alilipwa dola milioni 2.5 (TZS bilioni 6.3) kushiriki katika tamthilia ya “Moussa” mwaka 2021, na dola 972K (TZS bilioni 2.4) kushiriki kwenye tamthilia ya “The Prince” mwaka 2020.

Mwimbaji huyo wa Ya Habibi ana wafuasi milioni 29 Instagram, milioni 23 Facebook, subscribers milioni 15.3 YouTube, wafuasi milioni 8.5 TikTok, na wafuasi milioni 2.9 kwenye X (zamani twitter). Jumla ya wafuasi wake kwenye mitandao ya kijamii ni milioni 78.7.

SIMILAR: Diamond Platnumz Atangaza Kuachana na Zuchu I’m Single Boy

Ramadan alishiriki kwenye Soundtrack ya AFCON 2023, ‘Akwaba’ akiwa na Yemi Alade pamoja na Magic System ambao waliutumbuiza kwenye sherehe ya ufunguzi wa AFCON.

Check more LIFESTYLE articles;

Leave a Comment