Ratiba ya Mitihani ya Kidato cha Nne (CSEE) 2025
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza rasmi ratiba ya mitihani ya Kidato cha Nne (CSEE) kwa mwaka 2025. Mitihani itaanza tarehe 10 Novemba 2025 na kumalizika tarehe 28 Novemba 2025. Mitihani itafanyika katika vituo vya watahiniwa kama ilivyoainishwa kwenye ratiba rasmi.
SIMILAR: Walioitwa kwenye Usaili Tume ya Utumishi Wa Mahakama JSC – PDF
Check more LIFESTYLE articles;