Ushauri wa Mwijaku kwa Zuchu Kuhusu Simba
Baada ya taarifa za kuvunjika kwa mahusiano kati yaย Zuchuย naย Diamond Platnumz,ย Mwijakuย ameibuka na ushauri kwa Zuchu wa kumtaka aka-check afya ili afanye maamuzi sahihi.
“Dada Zuhura, nakushauri uende kituo cha afya ufanye vipimo vyote vya S.T.D. Na ukiwa unaona uko salama, endelea mbele, lakini ukiwa unaona una changamoto, hakikisha unakufa na mwambino kwa maisha yako yote. Usikubali kutumiwa.”
Check more LIFESTYLE articles;