Nyimbo kali za Bongo ambazo hazina video
LIFESTYLE

Nyimbo kali za Bongo ambazo hazina video

Nyimbo kali za Bongo ambazo hazina video
Nyimbo kali za Bongo ambazo hazina video

Baada ya mapinduzi ya teknolojia kuingia nchini na wasanii kuanza kufanya video za nyimbo zao, wengi wao walionekana kupiga hatua zaidi na kuongeza wigo wa kuzitangaza kazi zao kupitia majukwaa ya online kama YouTube, vituo mbalimbali vya Tv ndani na nje ya nchi.

SIMILAR: Wasanii matajiri zaidi barani Africa 2024

Wasanii waliongeza ufanisi katika kufikisha burudani na ujumbe kwa mashabiki wao. Huku pia wameweza kupata umaarufu na fursa za kifedha zaidi kupitia streams/viewers.

Nyimbo kali za Bongo ambazo hazina video
Nyimbo kali za Bongo ambazo hazina video

Licha ya video za muziki kuwa na faida lakini kuna baadhi ya nyimbo za Bongo Fleva/Hip Hop ambazo ni kali zilizofanikiwa kufanya vizuri sokoni lakini hazina video. Tazama Orodha ya baadhi ya hits;

1. My Everything – Alikiba
2. Chochote Popote – Joh Makini
3. Lala Salama – Diamond Platnumz
4 .Akili yangu – MB Dogg
5. Mwanza Mwanza – Fid Q
6. Girlfriend – TID Ft. Jay Moe
7. Perfume – Joslin
8. Ukimwona – Diamond Platnumz
9. Kilimanjaro Ft. G Nako, Lady Jaydee

Taja nyimbo zingine….👇🏼

SOURCE: Simulizi na Sauti

Check more LIFE HACK articles;

Leave a Comment