Lava Lava - Go Gaga Lyrics
LYRICS

Lava Lava – Go Gaga

MP3 DOWNLOAD Lava Lava - Go Gaga
Lava Lava – Go Gaga Lyrics

Tanzanian recording artist signed WCB Wasafi record label, Lava Lava is back with a new banger titled Go Gaga, produced by Lizer. Below are the Go Gaga Lyrics written and performed by Lava Lava.

SIMILAR: Lava lava – Nitake nini Lyrics

Go Gaga Lyrics by Lava Lava

Ana jicho la kukonyeza na mikogo ka-Shakira
Mhhhhhhh
Nyuma mkia pweza shepu katapira
Mechi tunazozicheza kitandani fundikira
Ameniweza napumua kwa mipira

Tenaa
Kiuno laini chuchu dodododo
Kitovuni kipini mtoto jojojojo
Avae dera kimini nyuma rojorojo
Katoto ndizi maini yani sotojotojo

Aaahhhh gogaga
Fanya kama unataga
Tuzivunje chaga
Ongeza mazagazaga
Ayeee
Aaahhhh gogaga
Fanya kama unataga
Tuzivunje chaga
Ongeza mazagazaga
Basi waonyeshe
Waone waone
Basi waonyeshe
Waone waonyeshe waone
Basi waonyeshe
Waone waone
Basi waonyeshe
Waone waonyeshe waone
Basi waonyeshe

Mungu alikuumba kwa udongo we mtoto fire
(Fire, fire)
Utajanipa mazongo ukija retire
(Tire, tire)
Nizidishe uondo stimu za kaya
(Kaya, kaya)
Sichururu ndondondo, penzi likapwaya
(Pwaya, pwaya)

Unavyonichanganya manuva
Kiuno spidi kama msuva
Kwako napooona
Maajabu samaki nguva
Mchezoni unavyonifungafunga
Magoli ya koona

Tenaa
Kiuno laini chuchu dodododo
Kitovuni kipini mtoto jojojojo
Avae dera kimini nyuma rojorojo
Katoto ndizi maini yani sotojotojo

Aaahhhh gogaga ah eh
Fanya kama unataga ah eh
Tuzivunje chaga ah eh
Ongeza mazagazaga ah eh

Aaahhhh gogaga ah eh
Fanya kama unataga ah eh
Tuzivunje chaga ah eh
Ongeza mazagazaga

Basi waonyeshe
Waone waone
Basi waonyeshe
Waone waonyeshe waone
Basi waonyeshe
Waone waone
Basi waonyeshe
Waone waonyeshe waone
Basi waonyeshe

Lava Lava – Go Gaga Mp3 Download

More hit song from Lava Lava;

Leave a Comment