MP3 DOWNLOAD Tip Top Connection – Bado Tunapanda
Tip Top Connection is a Tanzanian music group signed under Babu Tale management, that contains many best Tanzanian artists such as Tunda Man, Madee, Spark, Keisha, Pingu, Mb Dogg.
Welcome again, Today is a brand new day and It is our honor to present a brand new song from Tip Top Connection titled Bado Tunapanda mp3 Download…..have it!
SIMILAR: Tip Top Connection – Ridhiki
Tip Top Connection – Bado Tunapanda Lyrics
Waya, waya, waya, waya, waya weeee…………[Top, tip, tip, tip, tip, top connection],
Ni wa, ni wa, ni wa, ni wa, ni waleee……………[Top, tip, tip, tip, tip, top, connection],
Waya, waya, waya, waya, waya weeee…………[Top, tip, tip, tip, tip, top, connection],
Ni wa, ni wa, ni wa, ni wa, ni waleeeee……….[Top, tip, tip, tip, tip, top, connection],
Kama mziki safari, Tip top tumesafa kwa sasa tunapumua,
Kama mziki ni hali, Basi afadhali dunia nzima inatujua,
Kama kweli we unatupenda sema, haaaaa……………..oya, oya,
Kama tip top unaipenda sema, haaaaaa………………oya, oya,
Mnjilizi unasema maneno mangapi mabaya juu yangu kila kona,
Neno langu shilingi si la kubishana na wewe usidhani ntajibu bwana,
Moyo wangu wa subira nilopewa na mola ndo maana kauli sina,
Nimezaliwa kushinda, ndo maana napita kila ukibana,
Nimesafiri, toka Tanga, Nimekuja tafuta riziki bwana,
Napiga dili, nazichanga, nikapambane na ile dhiki jamaa,”
MP3 DOWNLOAD
More hits song from Diamond Platnumz;