STORY

St. Bartholomew

St. Bartholomew (Mt. Bartholomew)
St. Bartholomew (Mt. Bartholomew)

Bartholomew alikuwa ni mmoja wa wafia dini Wakristo ambao walipata kifo kibaya. Mwingine ni mtakatifu Lawrence aliyechomwa akiwa hai juu ya makaa ya moto, Mtakatifu Euphemia alifanywa kitoweo cha simba na Mtakatifu Castulus alizikwa akiwa hai.

Wakati huo kuuawa ilikuwa beji ya heshima kwa watakatifu hawa wa Kikristo kwa sababu mateso yao yaliwaleta karibu na Kristo. 

St. Bartholomew
St. Bartholomew

Inaelezwa kuwa Bartholomew aliwabadilisha watu kutoka kwenye imani zao na kua wakristo alipokuwa kwenye misheni kwenda India, akaadhibiwa kwa adhabu hio kali kwa kuwageuza watu hao kuwa Ukristo. 

SIMILAR: Top Secret Namba 12333 Kutoka Whitehouse Ep 1

Bartholomew aliripotiwa kuchunwa akiwa hai, ngozi yake yote iliondolewa wakati akiangalia mchakato huo wote kwa uchungu mkubwa. Kama matokeo ya kuuawa kwake kwa karne nyingi Mtakatifu Bartholomew alionyeshwa akiwa ameshikilia ngozi yake mwenyewe.

St. Bartholomew

Sanamu ya Mtakatifu Bartholomew huko Milan, iliyoundwa na Marco d’Agrate katika karne ya 16, inabaki kuwa moja ya picha halisi za mtakatifu.

Also, Check other Simulizi of PUMBAZO;

Leave a Comment