Historia ya Toshiaki Mukai na Tsuyoshi Noda
SIMULIZI

Wakati Japan Wanaingia Kuitawala China Mwaka 1937 Walianzisha Mashindano Ambapo Maafisa Wawili wa Japan (Toshiaki Mukai na Tsuyoshi Noda) Walikuwa Wanashindana Nani Anaweza Kuuwa Wachina 100 kwa Upanga kwa Haraka Zaidi?. Baadaye Mwaka 1948 Wote Wawili Walinyongwa kwa Unyama Huo.

Historia ya Toshiaki Mukai na Tsuyoshi Noda
Historia ya Toshiaki Mukai na Tsuyoshi Noda

Mashindano hayo yaliitwa Hyakunin-giri kyoso. Filamu za The Flowers of War (2011) na City of Life and Death (2009) zimetengenezwa kwa kufuata mashindano hayo ya kinyama ya mwaka huo 1937, serikali ya nchi yao wenyewe ndiyo ilimuru wanyonge. Pichani ndio maafisa hao wawili wuwaji.

Historia ya Toshiaki Mukai na Tsuyoshi Noda
Historia ya Toshiaki Mukai na Tsuyoshi Noda

Other related tracks from Simulizi;

Leave a Comment