Historia ya “The Milk goddess”

Mwaka 2014 Elisabeth Sierra wa US Aligundulika Kuwa na Tatizo la ‘Hyperlactation’ Ambapo Maziwa Yanakuwa Yamejaa Muda Wote Yakitaka Kutoka. Elisa Hujikamua Hadi Lita 6 za Maziwa Kwa Siku na Kusambaza kwa Watoto Bure. Husaidia Watoto 250 kwa Mwaka Sawa na Lita 2,300 za Maziwa Yake. Wanamuita ‘The Milk goddes.’

SIMILAR: Historia ya Toshiaki Mukai na Tsuyoshi Noda

Historia ya "The Milk goddess"
Historia ya “The Milk goddess”

Other related tracks from Simulizi;

Leave a Comment

Your email address will not be published.